HAYA MAISHA BWANAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

HAYA MAISHA BWANA...!!,
MWAKA JUZI NILIENDA KWENYE MAFUNZO YA UPOLISI PALE CCP MOSHI,MIMI NA WENZANGU TUKAPEWA MTIHANI WA KUKIMBIA.NIKASHINDA MARA NIKASHANGAA MKUU WA KITUO ANANIAMBA "HIZI MBIO NI ZA MWIZI SIO POLISI😎😎😂😂"

Comments

Popular posts from this blog