Posts
Showing posts from September, 2019
MJUE JASUSI(intelejinsia) PAUL KAGAME SIMBA WA VITA.
- Get link
- X
- Other Apps
(Aliyeiweka Uganda Kiganjani Mwake). Unaposikia jina Paul Kagame kama mwana diplomasia mbobezi lazima ushtuke, Huyu jamaa ni mtu hatari sana katika uwanja wa vita. Ni moja ya majasusi wachache wanao ingia mapambanoni wenyewe bila kuangalia vyeo vyao. Ikumbukwe kwamba Paul Kagame alikuwa na ushawishi mkubwa kwenye jeshi la Uganda kutokana na umahiri wake wa intelejinsia. Kwann ipo hivi? Kagame ndie aliyeshiriki kumuondoa Idd Amin na ndie aliyeshiriki Kumuweka madarakani Museveni na pia ndie aliyeshiriki kuliasisi na kuliunda jeshi la Uganda Kwa hiyo yeye ndo alkuwa anawashauri nani anafaa kuwa Rais au hafai. Haya sasa twende. Baada ya vita ya Kagera, Tanzania wakamsimika Yusuf Lule kuwa Rais wa nchi ya Uganda. Kina Museveni wakaanzisha chombo chao cha kijeshi National Consultative Commission(NCC) hiki chombo ndo walikifanya kuwa na maamuzi ya mwisho ya nchi. Miezi miwili tu baada ya Tanzania kumsimika Yusufu Lule kuwa Rais kukatokea mvutano kati yake na NCC. NCC ya kina Museveni
DOWNLOAD MSOMI BLOG HAPA
- Get link
- X
- Other Apps
Nakusogezea app bomba yenye mwonekano mzuri iliyoboreshwa zaidi kama inavoonekana kwenye picha hapo juu, MSOMI BLOG INA TAARIFA ZOTE ZINAZOJIRI BONGO IWE UDAKU AU SIASA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA NA VIDEO KWA UFASAHA ZAIDI SIMULIZI KALI DONDOO KALI ZA MAPENZI VICHEKESHO...,KILA SECTION IMEPAGWA VIZURI ILI KUTOMCHANGANYA MTUMIAJI WA APP HII....,TAFADHARI ILI KUIPATA BONYEZA KITUFE CHA CHENYE RANGI YA BLUU HAPA CHINI DOWNLOAD
SIMULIZI—MZIGO(SEHEMU YA 1&2)
- Get link
- X
- Other Apps
Utangulizi .....!!! Niliwasili Dar es salaam saa tisa na nusu alasiri. Hii ilikuwa ni mapema zaidi kuliko nilivyotarajia. Safari yetu ilichukua siku tatu. Watu walikuwa wametawanyika ovyo pale kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo. Walikuwa kama siafu walioangukiwa na kaa la moto. Miongoni mwao walikuwa ni abiria ambao wanasafiri huku wengine wakiwasili. Pia walikuwepo wapiga debe ambao walileta kero kubwa kwa abiria. Bonge alinionya kuwa nisipitie sehemu nyingine kabla ya kumfikishia mzigo wake. Pia alinionya kuwa iwapo sitatekeleza maagizo yake, basi asingenipa malipo yangu kwa kazi ya kusafirisha mzigo ule. Vile vile alinikumbusha kuhusu ile picha ya hatari. Ni picha yangu ambayo ilikuwa inaniweka katika wakati mgumu. Ni picha ambayo leo inanifanya niwe mtumwa. Kwa sababu ambazo mpaka leo sijazielewa nikaamua kuvunja maagizo yake kwa kupitia nyumbani kwangu Yombo Buza. Sifahamu kama kuna nguvu ya ziada kutoka nje ya nafsi yangu ilinituma kufanya uamuzi huo wa a
MWANAMKE ASIYEZEEKA
- Get link
- X
- Other Apps
Pichani ni mwanamama, muuguzi (nurse) mstaafu mwenye umri wa miaka 65, alizaliwa tarehe 22 Januari mwaka 1954. Ni mama wa watoto sita, kati ya hao wawili ni madaktari, wawili wengine walimu, mmoja ni ofisa wa polisi na mwingine ni mfanyabiashara mkubwa. Mwanamama huyo ni kutoka Los Angeles, Marekani. Licha ya umri wa miaka 65 anaonekana kama binti wa miaka 25. Picha unayoiona ilipigwa tarehe 22 Januari 2019 alipoadhimisha siku yake ya kuzaliwa. KAMA BADO UNATUMIA TOLEO LA "BONGO TREND" TAFADHARI BONYEZA MAANDISHI HAYA CHINI YA KIJANI ILI UI PATE "TREND PLUS" ILIYOBORESHWA ZAIDI . BONYEZA HAPA
GEREZA LA GITARAMA: Jehenamu duniani!
- Get link
- X
- Other Apps
By @BIN CYPHER Jiji la Gitarama hupatikana katikati ya nchi ya Rwanda, kwa makadirio kilomita arobaini na tano toka kwenye jiji kubwa nchini humo; jiji la Kigali, jiji pekee lililoitangulia Gitarama kwa ukubwa. Kama haitoshi ni hapahapa katika jiji hili ndipo kuna historia kubwa ya makutano yaliyofanyika mwezi wa kwanza; mwaka 1961, Rwanda ikatangazwa rasmi kama jamhuri. Vilevile jiji hili (kipindi hicho mji) likatoa raisi wa kwanza wa Rwanda, bwana Gregoire Kayibanda, ambaye kumbukumbuye mpaka sasa imesimamishwa katikati ya eneo hili. Mazuri hayo hayakomei hapo, hapana! Bali pia hili jiji likabarikiwa na kutunukiwa vivutio kadha wa kadha vya utalii na taasisi lukuki za elimu ambazo aidha zaweza jaza ukumbi nikizianisha hapa. Na kwa namna moja ama nyingine nachelea kusema taasisi hizo zilijengwa (zimejengwa) kwa lengo chanya la kuwafanya watu wapate elimu na hatimaye kujikomboa kifikra na kimwili. Lakini mbali na taasisi hizo, na aidha vivutio na uzuri wa jiji hili, upande
"ALCATRAZ" GEREZA HATARI ZAIDI KUWAHI KUTOKEA ULIMWENGUNI.
- Get link
- X
- Other Apps
@BY BIN CYPHER Alcatraz lilikuwa gereza hatari na maarufu zaidi Nchini Marekani. Hapa ndipo nyumbani kwa watukutu walioshindikana wa Marekani miaka hiyo. Alcatraz inapatikana katika jimbo la California kwenye kisiwa cha Alcatraz. Lilifunguliwa rasmi mwaka 1934 hadi mwaka 1935 tayari lilikuwa na wafungwa 242. Gereza hili lilifungwa rasmi tarehe 21 March 1963 hivyo lilidumu kwa miaka 29 tu. Mambo yaliolifanya gereza hili kuwa maarufu zaidi ulimwenguni ni yafuatayo: (A). Aina ya watuhumiwa waliopatikana humu (B). Lilikuwa likizungukwa na bahari, pia ulinzi usiokifani. (C). Mazingira na maisha ndani ya gereza lenyewe yalikuwa tatanishi yenye kuhitaji roho ngumu kuyavumilia. HAWA NI BAADHI YA WATEMI WALIOWAHI KUFUNGWA GEREZA HILI. I). George Kelly. Huyu mtemi alifahamika kwa jina "The Machine Gun" alipewa jina hili kutokana na utundu wake kwenye zana hii wakati wa utekelezaji uhalifu wake. Huyu alikuwa kiongozi wa kundi la mamafia wa wizi wa mabenki na utekaji. Alifu
JE WAJUA...?!
- Get link
- X
- Other Apps
By@bin cypher™ Mnamo Mwaka 2006, wiki kadhaa baada ya kustaafu nafasi ya ukatibu mkuu, Kofi Annan alienda nchini Italia kwa ajili ya mapumziko. Akiwa huko, Siku moja aliamua kutoka nje kidogo na kwenda kununua gazeti, lakini ghafla akashangaa Watu wengi wanamzonga. Lengo lao ni kutaka sahihi kutoka kwake. (Kama uonavyo nyota wa filamu au wachezaji mpira, wanavyochora sahihi zao kwenye mashati ya wafuasi). Lakini kumbe, Watu hao walimfananisha Kofi Annan na yule nyota wa filamu wa marekani bwana Morgan Freeman . Ila, kwa kutotaka kuwaangusha Watu hao, Kofi Annan alichora sahihi kwa kutumia jina la Freeman. (Angalia picha zao) Koffi Anan, alifaliki akiwa na umri wa miaka 80 huko nchini Switzerland. Alihudumu nafasi ya ukatibu mkuu kwanzia Mwaka 1997 hadi 2006, akiwa ndiye mwafrika mweusi wa kwanza kushika nafasi hiyo. RIP koffi Annan.
MARILYN MONROE
- Get link
- X
- Other Apps
By BIN CYPHER(BIN LADEN) Alikuwa muigizaji na mwimbaji maarufu Duniani miaka ya 50s_ 60s, kutoka Marekani na mpaka sasa anajulikana kama ni mwanamke mrembo zaidi wa muda wowote kutokea Duniani. Alizaliwa katika familia maskini na alishawahi kubakwa kabla hajapata umaarufu . Marilyn alikufa mwaka 1962, mwezi wa nane , tarehe 5 akiwa na umri wa miaka 36. Marilyn alikufa katika kifo cha kutatanisha, baada ya kuukuta mwili wake kitandani ,akiwa ameshika Simu mkononi. Baada ya uchunguzi ili thibitishwa Marilyn alijiua kwa kuji over dorse( alimeza vidonge vya dawa kupita kiasi) Lakini kupitia nadharia mbali mbali zinasema aliuliwa , na Kaka wa wili , Rais John F Kennedy na attorney Robert F Kennedy. Hawa wote walikuwa wa wanatoka kimapenzi na mrembo huyo, kwa vipindi tofauti, ambapo inadaiwa walimuua ili kupoteza ushahidi baada ya Marilyn Monroe kutoa nyaraka mbalimbali zilizo kuwa zina ushahidi kwamba alikuwa ananyanyaswa kimapenzi na kaka hao. Na hata siku kabla ya kifo chake
JAMBAZI MTUKUTU
- Get link
- X
- Other Apps
By-Bin Cypher Nchini Tanzania, kuna manju 'Dj' fulani wa muziki anayejulikana kwa jina maarufu la 'DJ JD' au kwa kirefu *'DJ John Dilinga'.* Huyu ni moja kati ya maDj wakongwe na mahiri sana tuliobahatika kuwa nao hapa nchini Tanzania. Kwa wale wapenzi na wadau wa muziki wa 'bongofleva' hususani wa miaka ya nyumanyuma kidogo, bila shaka mtakua mnamfahamu Dj huyu. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kufahamu ni kwanini anaitwa John Dilinga..nikiwa nataka kujua kama hilo ni jina lake halisi au ni 'a.k.a'. Maana ni kawaida kuona watu mbalimbali hususani walio kwenye tasnia ya burudani wakitumia majina ya ziada (a.k.a) kuliko majina yao halisi. Kitu kilichonifanya nianze na DJ JD ni baada ya kugundua kuwa leo ni tarehe 22 Julai. Tarehe ambayo ulimwengu mzima unamtaja bwana mmoja mtukutu sana, aliyewahi kusumbua vichwa vya maofisa usalama wa nchi ya Marekani, akifahamika kama *John Dillinger.* Huyu alikuwa ni moja kati ya wahuni wakubwa nchini
VIGEZO 13 VYA KUFUATA KABLA YA KUFUGA NJIWA
- Get link
- X
- Other Apps
By:-Bin Cypher 1:Kwanza kabisa Njiwa ukiwanunua kwa mtu,sharti wawe wawili pair (dume na jike). 2:Kama muuzaji aliwafuga kwa banda la juu,hakikisha unakowapeleka uwaandalie banda la juu,ukiwaweka banda la chini wanaondoka. 3:Kama banda lako la chini,tafuta muuzaji mwenye banda la chini ndipo ununue vinginevyo unashauliwa uwanyonyoe manyoya na kuwafungia siku 40 kabla ya kuwafungulia. 4:Njiwa wakiwa mbele yako usipende kuwajadili,hawapendi masimango wataondoka!. 5:Ukifuga Njiwa nao hufatilia nyendo zako,ukiwa mlevi hawakai wanaondoka.Vurugu na kelele hawapendi. 6:Njiwa wana nguvu kiimani,hawapendi mfugaji awe Mmbea,kugombana na majirani.Kwa sababu wakatika wa ugomvi Njiwa hukaa juu ya Paa wakisikiliza halafu huondoka na hawarudi tena. 7:Njiwa hawapendi kuona umechinja Njiwa mwenzao mbele yao,wakiona wanahama wote kwa sababu wanahisi utawachinja. 8:Njiwa hawapendi makelele ya kushtukiza kams honi kali,kuwarushia jiwe na miziki mikubwa.Ukifanya hayo wanahama. 9:Njiwa akifa m